Alikuwa muimba #Kareoke tu, mwaka 2016 ndipo alipata nafasi ya kujaribiwa kwenye ligi kuu ya burudani.
#TigoFiesta2017 imezidi kudhihirisha ubora wake kwani mwaka huu anatajwa kuwa kati ya ya wasichana wachache wanaofanya vizuri kwenye muziki.
Leo katajwa kwenye orodha ya kwanza ya wasanii wataopiga #TigoFiestaKubwaLao lakini pia leo ni siku yake ya kuzaliwa.
#HappyBirthdayNandy, Wasalimie Nigeria: Dar inakusubiri. @officialnandy

Comments

Popular posts from this blog

Ujumbe wa Kwaresima kuhusu Msamaha

THE MEANING OF TRUE HAPPINESS (maana ya Furaha ya Kweli)