Posts

Showing posts from November 12, 2017
Image
Bodi ya Mikopo yatangaza orodha mpya ya mikopo> http://bit.ly/2zAVbH4 Bodi ya Mikopo yatangaza orodha mpya ya mikopo Ni kwa wanafunzi 1,775 wa mwaka wa kwanza.

MSUYA.COM

MSUYA.COM
Image
RC Luhumbi atoa siku 40 mradi wa maji ukamilike> http://bit.ly/2yv4m8A RC Luhumbi atoa siku 40 mradi wa maji ukamilike Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Luhumbi ametoa siku 40 kwa mkandarasi anaejenga mradi wa maji wa Nyantukuza uliopo wilayani Nyang’hwale kuukamilisha.
Image
Maisha ya Safiya, Mtanzania anayefanya kazi China> http://bit.ly/2miVtgn Maisha ya Safiya, Mtanzania anayefanya kazi China Hivi karibuni, mwandishi wetu RASHID KEJO alikwenda Beijing, China kuripoti Mkutano Mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti (CPC), akiwa huko alikutana na mmoja wa Watanzania 10 walioshinda shindano
Image
Namna bora ya kumlea mtoto wa pekee kwenye familia> http://bit.ly/2iQYks3 Namna bora ya kumlea mtoto wa pekee kwenye familia Katika makala haya tunaangalia namna ya kumsadia mtoto aliyezaliwa pekee kwenye familia ili kuondokana na madhara yatokanayo na malezi ya upweke.
Image
Maendeleo ya teknolojia : uzuri na tahadhari> http://bit.ly/2AD2s7b Maendeleo ya teknolojia : uzuri na tahadhari Muhtasari uliotolewa kushehererekea miaka miwili ya uongozi wa awamu ya tano, umesisitiza umuhimu wa viwanda. Kwa Watanzania hili ni jambo zuri sana. Rais JP Magufuli anasisitiza sana sayansi na MWANANCHI.CO.TZ
Image
UKWEPAJI KODI: Mamlaka ya Mapato nchini Rwanda imesema itapiga mnada mali za familia ya Rwigara ili kufidia deni la kodi takribani Dola Milioni 6. - Ili kunusuru mali zao, wametakiwa kulipa deni hilo ndani ya mwezi huu (Novemba, 2017) Zaidi, soma =>  https://goo.gl/GhWyya
Watu wanne wamekamatwa nchini Zimbabwe wakituhumiwa kumzomea mke wa rais wa nchi hiyo Grace Mugabe wakati akihutubia mkutano wa hadhara siku ya jumamosi iliyopita. Gazeti linalomilikiwa na Serikali la The Herald limeripoti kwamba watuhumiwa hao wanakabiliwa na mashitaka ya kupuuza mamlaka ya rais. Kuzomea huko kuliibuka kati ya makundi mawili ndani ya chama tawala cha Zanu-PF yanayopambana juu na nani atakuwa mrithi wa rais Robert Mugabe ambapo kuna kundi linalimuunga mkono mke wa rais Grace Mugabe na lile linalomuunga mkono Makamu wa rais aliyefukuzwa Emmerson Mnangagwa. Imedaiwa kwamba watu hao waliokamatwa ni wafuasi wa aliyekuwa Makamu wa Rais Watu hao walikamatwa mara baada ya mkutano huo uliofanyika mjini Bulawayo,watuhumiwa hao inasemekana ni aliyefukuzwa Emmerson Mnangagwa . Watuhumiwa hao waliokatwa ni wanaume watatu na mwanamke mmoja wako nje kwa dhamana. Chanzo:  EATV
DIWANI wa Kata ya Mabuki, Nicodemas Ihano (CCM) na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mwanangwa kilichopo wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza, Faustine Malago (CCM), wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuvunja nyumba, kuiba na kuchoma moto mali za mwekezaji. Ihano ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi na wenzake watatu, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa wilaya hiyo na kusomewa hati za mashtaka matatu ambapo walikana mashtaka yanayowakabili na wote wako nje kwa dhamana. Akisoma mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mfawidhi, Russy Mkisi, Mwendesha Mashtaka wa polisi, Ramsoney Salehe, aliiambia Mahakama hiyo kuwa watuhumiwa hao kwa pamoja Oktoba 24, mwaka huu saa 7.00 mchana kwenye Kijiji cha Mwanangwa eneo la machimbo ya madini ya almasi, walikula njama na kuvunja nyumba na kuiba vitu mbalimbali vyenye thamani ya Sh milioni 2.8. Salehe alisema tuhuma nyingine zinazowakabili washtakiwa hao ni kuchoma moto nyumba na magari mawili vyote vikiwa na thamani ya Sh ...