Tambo na majigambo, #Natamba , @aslayisihaka anatamba.
Kuna maneno kwamba ukitaja wasanii watatu wanaokubalika zaidi Bongo kwa sasa lazima umtaje #Aslay (sio maneno yetu)
Je wewe unakubaliana na hilo?
Tarehe 25 mwezi huu pale Leaders Aslay atakuwa na kibarua kizito kudhihirisha kwamba yeye ni kinara na anastahili kutamba.
.
.
Itakuwa #TigoFiesta2017 na hii ni #TigoFiestaKubwaLao.

Comments

Popular posts from this blog

Ujumbe wa Kwaresima kuhusu Msamaha

THE MEANING OF TRUE HAPPINESS (maana ya Furaha ya Kweli)