Tukiwa #Morogoro , @vanessamdee alieleza kwamba @juma_jux amekuwa akiomba sana warudiane lakini yeye bado hajakubali.
Alisema nafasi ya mwisho kwa Jux itakuwa #TigoFiestaKubwaLao hapa Dar es Salaam ambapo Jux atapewa dakika 15 za kumshawishi V warudiane.
#TigoFiesta2017 DSM ni November 25, Je @juma_jux na @vanessamdee wataruadiana jukwaani?

Comments

Popular posts from this blog

Ujumbe wa Kwaresima kuhusu Msamaha

THE MEANING OF TRUE HAPPINESS (maana ya Furaha ya Kweli)