Posts

Showing posts from November 11, 2017
Image
SINGIDA: Watu wawili wamefariki dunia baada ya gari ndogo aina ya Toyota Land Cruiser yenye namba za usajili za T862 DJW kugongana na basi la Taqwa lililokuwa linatokea Kampala eneo la Kidaka lililopo Wilaya ya Ikungi
Image
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Mkinga imekamata shehena ya mafuta ya Taa kutoka nchi jirani ya Kenya yaliyoingizwa nchini bila kulipiwa ushuru kwa madai kuwa baadhi ya wafanyabiashara hulazimika kupitisha bidhaa hiyo kwa njia za panya kisha kuingizwa nchini kinyume cha sheria madai kuwa mafuta hayo huuzwa kwa bei rahisi nchini Kenya baada ya Serikali ya Tanzania kupandisha bei  Wakizungumza wakati kamati hiyo hiyo iliyoongozwa na mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Mkinga Mark Yona kufanya operesheni katika kijiji cha Jesini kilichopo jirani na Kenya. Afisa Uhamiaji wa wilaya pamoja na mkuu wa kikosi maalumu cha kuzuia magendo katika eneo la Moa lililopo mpakani mwa nchi hizo mbili, wamesema mafuta ya Taa yamekuwa yakiingizwa kwa wingi hasa baada ya Serikali ya Tanzania kupandisha bei ya bidhaa hiyo.  Katika zoezi hilo la kuhakikisha sheria za nchi zinaimarishwa, Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani Mkinga Mark Yona amesema katika kipind...