BBC DIRA YA DUNIA LEO TAR. 10.11.2017
Posts
Showing posts from November 10, 2017
- Get link
- X
- Other Apps
Tukiwa # Morogoro , @vanessamdee alieleza kwamba @juma_jux amekuwa akiomba sana warudiane lakini yeye bado hajakubali. Alisema nafasi ya mwisho kwa Jux itakuwa # TigoFiestaKubwaLao hapa Dar es Salaam ambapo Jux atapewa dakika 15 za kumshawishi V warudiane. # TigoFiesta2017 DSM ni November 25, Je @juma_jux na @vanessamdee wataruadiana jukwaani?
- Get link
- X
- Other Apps
Alikuwa muimba # Kareoke tu, mwaka 2016 ndipo alipata nafasi ya kujaribiwa kwenye ligi kuu ya burudani. # TigoFiesta2017 imezidi kudhihirisha ubora wake kwani mwaka huu anatajwa kuwa kati ya ya wasichana wachache wanaofanya vizuri kwenye muziki. Leo katajwa kwenye orodha ya kwanza ya wasanii wataopiga # TigoFiestaKubwaLao lakini pia leo ni siku yake ya kuzaliwa. # HappyBirthdayNandy , Wasalimie Nigeria: Dar inakusubiri. @officialnandy
- Get link
- X
- Other Apps
Tambo na majigambo, # Natamba , @aslayisihaka anatamba. Kuna maneno kwamba ukitaja wasanii watatu wanaokubalika zaidi Bongo kwa sasa lazima umtaje # Aslay (sio maneno yetu) Je wewe unakubaliana na hilo? Tarehe 25 mwezi huu pale Leaders Aslay atakuwa na kibarua kizito kudhihirisha kwamba yeye ni kinara na anastahili kutamba. . . Itakuwa # TigoFiesta2017 na hii ni # TigoFiestaKubwaLao .
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akishikana mkono na kupongezana na Mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi litakalo toka Hoima nchini Uganda hadi eneo la Chongoleani mkoani Tanga. Sherehe za uwekaji wa jiwe hilo zimefanyika katika eneo la Mutukula Wilayani Kyotera nchini Uganda