Posts

KAULI ya Magereza baada ya muigizaji Elizabeth Michael kubadilishiwa hukumu anbapo sasa atatumikia kifungo cha nje.

Image
KAULI ya Magereza baada ya muigizaji Elizabeth Michael kubadilishiwa hukumu anbapo sasa atatumikia kifungo cha nje.
Image
Msaanii wa Maigizo, Elizabeth Michael amebadilishiwa kifungo na sasa anatumikia adhabu hiyo akiwa nje.
Image
Rais Magufuli atoa Bilioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa Stendi mpya ya Mbezi Luis jijini Dar es Salaam...

BABU SEYA AACHIWA HURU

Image
Leo tar. 09.12.2017, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemsamehe mwanamziki Babu Seya aliyekuwa amefungwa katika gereza la Ukonga jijini Dar es salaam.
Image
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro na aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha ACT WAZALENDO Mama Anna Mghwira leo tar 8.12.2017 ametangaza rasmi kujivua uanachama wa ACT na kujiunga rasmi na CCM.Ameyasema hayo katika mkutano wa chama cha wanawake Tanzania (UWT).Pata habari zaidi hapa chini kwenye hii video..
Aslay ametuletea Ngoma hii leo chek...
NAISHUKURU MAHAKAMA IMETENDA HAKI Mama wa marehemu Stephen Kanumba akizungumza baada ya Mahakama Kuu kumhukumu @elizabethmichaelofficial kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kumuua bila kukusudia Stephen Kanumba  https://www.facebook.com/MwananchiNews/videos/10155909395889339/