Leo tar. 09.12.2017, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemsamehe mwanamziki Babu Seya aliyekuwa amefungwa katika gereza la Ukonga jijini Dar es salaam.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro na aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha ACT WAZALENDO Mama Anna Mghwira leo tar 8.12.2017 ametangaza rasmi kujivua uanachama wa ACT na kujiunga rasmi na CCM.Ameyasema hayo katika mkutano wa chama cha wanawake Tanzania (UWT).Pata habari zaidi hapa chini kwenye hii video..