Posts

Showing posts from 2015

Bikira Maria mwombezi wa Wakosefu.......

Image

Sala iwe ni Oksijeni tuivutayo kila siku....

Image
    Tusali zaidi ya tunavyoweza                     kupumua!

Ujumbe wa Kwaresima kuhusu Msamaha

Image
      Ndugu zangu, dhambi ni ugonjwa ambao dawa yake na Mganga wake mkuu ni Bwana wetu Yesu Kristo. Kristo ndiye mponyaji wa roho iliyokufa: katika umoja na roho mtakatifu huifufua roho-mfu na kuifanya mpya, takatifu isiyokuwa na doa. Kristo kwa asili hapendi roho batizwa ipotee, bali kila ipoteapo huitafuta kwa upendo, kama vile masikini atafutavyo Dhahabu katika shimo la machimbo.              Huruma ya Mungu hutuvuta kila wakati tunapoanguka katika dhambi. Moyo wa mtu uliovunjika na kuguswa hupata maumivu na kuimba Huruma ya Mungu, Mtu huyo mdhamdi aijongeapo altare ya Huruma ya Mungu kwa dhati na unyenyekevu huchota neema tele na kuhuishwa nafsi yake.        Tendo la kuomba Huruma ya Mungu huitwa Toba au Msamaha au Upatanisho au Maungamo au Uongofu au Kitubio. Mgonjwa huhisi uchungu na chuki kubwa dhidi ya dhambi alizozifanya kisha huomba msamaha kuanzia katika nafsi yake, kwa jilani yake na kisha kwa Muumba...

Maisha ya Fadhila na changamoto za wakristo wa mashariki ya mbali.

Hivi karibuni tumeshuhudia mauaji ya wakristo 21 nchini Libya. Hicho ni kielelezo kidogo tosha juu ya mateso wanayoyapata wakristo hasa wanaoishi katika nchi za kiislamu. Mafundisho ya Kristo bwana na mwokozi wetu yanatuonya tusilipize kisasi bali tuwe wavumilivu na wenye subira tukiwaombea maadui zetu na kuwapenda upeo! Fadhila kuu ya mapendo hujengwa ndani ya nafsi ya binadamu mahali na katika mazingira ya utulivu na kupima kila jambo kwa hekima ya kimungu.....

PENDO LISILO NA MWISHO

                                          PENDO LISILO NA MWISHO      Ndugu msomaji, Mungu ni upendo ! upendo wake ulijificha ndani ya "Neno" kabla hajauumba ulimwengu. Kwa Hekima yake ya ajabu inayopita ufahamu wa kibinadamu na yanye kuhuishwa na pendo lake, aliumba vyote vilivyomo Mbinguni na Duniani kwa neno la upendo.      Katika uumbaji wake Mungu alimuumba mwanadamu kwa sur yake halisi. Hivyo pendo lote la Mungu lilitua katika wazo na Hekima ya kumuumba mwanadamu ili apate kuwa mkamilifu mwenye neema zote za kiroho na kimwilikulingana na kipimo cha Mungu.      Licha ya kumuumba mwanadamu, Mungu alimweka mahali pazuri Bustanini ili (w)apate kuvitawala vyote vilivyomo na kufurahia uzuri wake huku akimwabudu, kumtukuza, kumsifu na kumwomba lolote atakalo ilimladi tu lifanane na mapenzi ya muumba wake.      Mwanadamu...

The Eucharistic Love!

Image
Hi my dear brothers and sisters, welcome and enjoy!

Jesus through Mary; our hearts overmelts with heavenly love!

Image
Love love love, makes a real smile!