Aslay ametuletea Ngoma hii leo chek...
Posts
Showing posts from November, 2017
- Get link
- X
- Other Apps
Maisha ya Safiya, Mtanzania anayefanya kazi China> http://bit.ly/2miVtgn Maisha ya Safiya, Mtanzania anayefanya kazi China Hivi karibuni, mwandishi wetu RASHID KEJO alikwenda Beijing, China kuripoti Mkutano Mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti (CPC), akiwa huko alikutana na mmoja wa Watanzania 10 walioshinda shindano
- Get link
- X
- Other Apps
Maendeleo ya teknolojia : uzuri na tahadhari> http://bit.ly/2AD2s7b Maendeleo ya teknolojia : uzuri na tahadhari Muhtasari uliotolewa kushehererekea miaka miwili ya uongozi wa awamu ya tano, umesisitiza umuhimu wa viwanda. Kwa Watanzania hili ni jambo zuri sana. Rais JP Magufuli anasisitiza sana sayansi na MWANANCHI.CO.TZ
- Get link
- X
- Other Apps
Watu wanne wamekamatwa nchini Zimbabwe wakituhumiwa kumzomea mke wa rais wa nchi hiyo Grace Mugabe wakati akihutubia mkutano wa hadhara siku ya jumamosi iliyopita. Gazeti linalomilikiwa na Serikali la The Herald limeripoti kwamba watuhumiwa hao wanakabiliwa na mashitaka ya kupuuza mamlaka ya rais. Kuzomea huko kuliibuka kati ya makundi mawili ndani ya chama tawala cha Zanu-PF yanayopambana juu na nani atakuwa mrithi wa rais Robert Mugabe ambapo kuna kundi linalimuunga mkono mke wa rais Grace Mugabe na lile linalomuunga mkono Makamu wa rais aliyefukuzwa Emmerson Mnangagwa. Imedaiwa kwamba watu hao waliokamatwa ni wafuasi wa aliyekuwa Makamu wa Rais Watu hao walikamatwa mara baada ya mkutano huo uliofanyika mjini Bulawayo,watuhumiwa hao inasemekana ni aliyefukuzwa Emmerson Mnangagwa . Watuhumiwa hao waliokatwa ni wanaume watatu na mwanamke mmoja wako nje kwa dhamana. Chanzo: EATV
- Get link
- X
- Other Apps
DIWANI wa Kata ya Mabuki, Nicodemas Ihano (CCM) na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mwanangwa kilichopo wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza, Faustine Malago (CCM), wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuvunja nyumba, kuiba na kuchoma moto mali za mwekezaji. Ihano ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi na wenzake watatu, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa wilaya hiyo na kusomewa hati za mashtaka matatu ambapo walikana mashtaka yanayowakabili na wote wako nje kwa dhamana. Akisoma mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mfawidhi, Russy Mkisi, Mwendesha Mashtaka wa polisi, Ramsoney Salehe, aliiambia Mahakama hiyo kuwa watuhumiwa hao kwa pamoja Oktoba 24, mwaka huu saa 7.00 mchana kwenye Kijiji cha Mwanangwa eneo la machimbo ya madini ya almasi, walikula njama na kuvunja nyumba na kuiba vitu mbalimbali vyenye thamani ya Sh milioni 2.8. Salehe alisema tuhuma nyingine zinazowakabili washtakiwa hao ni kuchoma moto nyumba na magari mawili vyote vikiwa na thamani ya Sh ...
- Get link
- X
- Other Apps
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Mkinga imekamata shehena ya mafuta ya Taa kutoka nchi jirani ya Kenya yaliyoingizwa nchini bila kulipiwa ushuru kwa madai kuwa baadhi ya wafanyabiashara hulazimika kupitisha bidhaa hiyo kwa njia za panya kisha kuingizwa nchini kinyume cha sheria madai kuwa mafuta hayo huuzwa kwa bei rahisi nchini Kenya baada ya Serikali ya Tanzania kupandisha bei Wakizungumza wakati kamati hiyo hiyo iliyoongozwa na mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Mkinga Mark Yona kufanya operesheni katika kijiji cha Jesini kilichopo jirani na Kenya. Afisa Uhamiaji wa wilaya pamoja na mkuu wa kikosi maalumu cha kuzuia magendo katika eneo la Moa lililopo mpakani mwa nchi hizo mbili, wamesema mafuta ya Taa yamekuwa yakiingizwa kwa wingi hasa baada ya Serikali ya Tanzania kupandisha bei ya bidhaa hiyo. Katika zoezi hilo la kuhakikisha sheria za nchi zinaimarishwa, Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani Mkinga Mark Yona amesema katika kipind...
- Get link
- X
- Other Apps
Tukiwa # Morogoro , @vanessamdee alieleza kwamba @juma_jux amekuwa akiomba sana warudiane lakini yeye bado hajakubali. Alisema nafasi ya mwisho kwa Jux itakuwa # TigoFiestaKubwaLao hapa Dar es Salaam ambapo Jux atapewa dakika 15 za kumshawishi V warudiane. # TigoFiesta2017 DSM ni November 25, Je @juma_jux na @vanessamdee wataruadiana jukwaani?
- Get link
- X
- Other Apps
Alikuwa muimba # Kareoke tu, mwaka 2016 ndipo alipata nafasi ya kujaribiwa kwenye ligi kuu ya burudani. # TigoFiesta2017 imezidi kudhihirisha ubora wake kwani mwaka huu anatajwa kuwa kati ya ya wasichana wachache wanaofanya vizuri kwenye muziki. Leo katajwa kwenye orodha ya kwanza ya wasanii wataopiga # TigoFiestaKubwaLao lakini pia leo ni siku yake ya kuzaliwa. # HappyBirthdayNandy , Wasalimie Nigeria: Dar inakusubiri. @officialnandy
- Get link
- X
- Other Apps
Tambo na majigambo, # Natamba , @aslayisihaka anatamba. Kuna maneno kwamba ukitaja wasanii watatu wanaokubalika zaidi Bongo kwa sasa lazima umtaje # Aslay (sio maneno yetu) Je wewe unakubaliana na hilo? Tarehe 25 mwezi huu pale Leaders Aslay atakuwa na kibarua kizito kudhihirisha kwamba yeye ni kinara na anastahili kutamba. . . Itakuwa # TigoFiesta2017 na hii ni # TigoFiestaKubwaLao .
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akishikana mkono na kupongezana na Mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi litakalo toka Hoima nchini Uganda hadi eneo la Chongoleani mkoani Tanga. Sherehe za uwekaji wa jiwe hilo zimefanyika katika eneo la Mutukula Wilayani Kyotera nchini Uganda
Msuya Foundation: On the service of the needy.Tuwasalidie maskini popote walipo kadri ya uwezo wetu kila mmoja...
- Get link
- X
- Other Apps
THE MEANING OF TRUE HAPPINESS (maana ya Furaha ya Kweli)
- Get link
- X
- Other Apps
INTRODUCTION Happiness or beatitude is a personal possession of a desirable good, ultimately the perfect good of an intellectual nature [1] . It is man’s chief good which signifies the state of satisfaction which a person feels on fulfilment of his or her desire by the possession of the good. It is also said that a happy person is one to whom good things happen. All rational beings have a special goal which they admire and that is happiness. It is only a rational being which can attain happiness. They alone can reflect on the state and consciously appreciate the satisfaction they enjoy. On the other hand animals cannot attain happiness because they move towards ends and have appetites that can only be satisfied by things good for them instinctively. Philosophically, happiness can be understood as the moral goal of life or as an aspect of chance; it is synonymous with luck. Thus, phi...