Posts

Showing posts from 2017

BABU SEYA AACHIWA HURU

Image
Leo tar. 09.12.2017, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemsamehe mwanamziki Babu Seya aliyekuwa amefungwa katika gereza la Ukonga jijini Dar es salaam.
Image
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro na aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha ACT WAZALENDO Mama Anna Mghwira leo tar 8.12.2017 ametangaza rasmi kujivua uanachama wa ACT na kujiunga rasmi na CCM.Ameyasema hayo katika mkutano wa chama cha wanawake Tanzania (UWT).Pata habari zaidi hapa chini kwenye hii video..
Aslay ametuletea Ngoma hii leo chek...
NAISHUKURU MAHAKAMA IMETENDA HAKI Mama wa marehemu Stephen Kanumba akizungumza baada ya Mahakama Kuu kumhukumu @elizabethmichaelofficial kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kumuua bila kukusudia Stephen Kanumba  https://www.facebook.com/MwananchiNews/videos/10155909395889339/
Image
Bodi ya Mikopo yatangaza orodha mpya ya mikopo> http://bit.ly/2zAVbH4 Bodi ya Mikopo yatangaza orodha mpya ya mikopo Ni kwa wanafunzi 1,775 wa mwaka wa kwanza.

MSUYA.COM

MSUYA.COM
Image
RC Luhumbi atoa siku 40 mradi wa maji ukamilike> http://bit.ly/2yv4m8A RC Luhumbi atoa siku 40 mradi wa maji ukamilike Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Luhumbi ametoa siku 40 kwa mkandarasi anaejenga mradi wa maji wa Nyantukuza uliopo wilayani Nyang’hwale kuukamilisha.
Image
Maisha ya Safiya, Mtanzania anayefanya kazi China> http://bit.ly/2miVtgn Maisha ya Safiya, Mtanzania anayefanya kazi China Hivi karibuni, mwandishi wetu RASHID KEJO alikwenda Beijing, China kuripoti Mkutano Mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti (CPC), akiwa huko alikutana na mmoja wa Watanzania 10 walioshinda shindano
Image
Namna bora ya kumlea mtoto wa pekee kwenye familia> http://bit.ly/2iQYks3 Namna bora ya kumlea mtoto wa pekee kwenye familia Katika makala haya tunaangalia namna ya kumsadia mtoto aliyezaliwa pekee kwenye familia ili kuondokana na madhara yatokanayo na malezi ya upweke.
Image
Maendeleo ya teknolojia : uzuri na tahadhari> http://bit.ly/2AD2s7b Maendeleo ya teknolojia : uzuri na tahadhari Muhtasari uliotolewa kushehererekea miaka miwili ya uongozi wa awamu ya tano, umesisitiza umuhimu wa viwanda. Kwa Watanzania hili ni jambo zuri sana. Rais JP Magufuli anasisitiza sana sayansi na MWANANCHI.CO.TZ
Image
UKWEPAJI KODI: Mamlaka ya Mapato nchini Rwanda imesema itapiga mnada mali za familia ya Rwigara ili kufidia deni la kodi takribani Dola Milioni 6. - Ili kunusuru mali zao, wametakiwa kulipa deni hilo ndani ya mwezi huu (Novemba, 2017) Zaidi, soma =>  https://goo.gl/GhWyya
Watu wanne wamekamatwa nchini Zimbabwe wakituhumiwa kumzomea mke wa rais wa nchi hiyo Grace Mugabe wakati akihutubia mkutano wa hadhara siku ya jumamosi iliyopita. Gazeti linalomilikiwa na Serikali la The Herald limeripoti kwamba watuhumiwa hao wanakabiliwa na mashitaka ya kupuuza mamlaka ya rais. Kuzomea huko kuliibuka kati ya makundi mawili ndani ya chama tawala cha Zanu-PF yanayopambana juu na nani atakuwa mrithi wa rais Robert Mugabe ambapo kuna kundi linalimuunga mkono mke wa rais Grace Mugabe na lile linalomuunga mkono Makamu wa rais aliyefukuzwa Emmerson Mnangagwa. Imedaiwa kwamba watu hao waliokamatwa ni wafuasi wa aliyekuwa Makamu wa Rais Watu hao walikamatwa mara baada ya mkutano huo uliofanyika mjini Bulawayo,watuhumiwa hao inasemekana ni aliyefukuzwa Emmerson Mnangagwa . Watuhumiwa hao waliokatwa ni wanaume watatu na mwanamke mmoja wako nje kwa dhamana. Chanzo:  EATV
DIWANI wa Kata ya Mabuki, Nicodemas Ihano (CCM) na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mwanangwa kilichopo wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza, Faustine Malago (CCM), wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuvunja nyumba, kuiba na kuchoma moto mali za mwekezaji. Ihano ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi na wenzake watatu, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa wilaya hiyo na kusomewa hati za mashtaka matatu ambapo walikana mashtaka yanayowakabili na wote wako nje kwa dhamana. Akisoma mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mfawidhi, Russy Mkisi, Mwendesha Mashtaka wa polisi, Ramsoney Salehe, aliiambia Mahakama hiyo kuwa watuhumiwa hao kwa pamoja Oktoba 24, mwaka huu saa 7.00 mchana kwenye Kijiji cha Mwanangwa eneo la machimbo ya madini ya almasi, walikula njama na kuvunja nyumba na kuiba vitu mbalimbali vyenye thamani ya Sh milioni 2.8. Salehe alisema tuhuma nyingine zinazowakabili washtakiwa hao ni kuchoma moto nyumba na magari mawili vyote vikiwa na thamani ya Sh ...
Image
SINGIDA: Watu wawili wamefariki dunia baada ya gari ndogo aina ya Toyota Land Cruiser yenye namba za usajili za T862 DJW kugongana na basi la Taqwa lililokuwa linatokea Kampala eneo la Kidaka lililopo Wilaya ya Ikungi
Image
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Mkinga imekamata shehena ya mafuta ya Taa kutoka nchi jirani ya Kenya yaliyoingizwa nchini bila kulipiwa ushuru kwa madai kuwa baadhi ya wafanyabiashara hulazimika kupitisha bidhaa hiyo kwa njia za panya kisha kuingizwa nchini kinyume cha sheria madai kuwa mafuta hayo huuzwa kwa bei rahisi nchini Kenya baada ya Serikali ya Tanzania kupandisha bei  Wakizungumza wakati kamati hiyo hiyo iliyoongozwa na mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Mkinga Mark Yona kufanya operesheni katika kijiji cha Jesini kilichopo jirani na Kenya. Afisa Uhamiaji wa wilaya pamoja na mkuu wa kikosi maalumu cha kuzuia magendo katika eneo la Moa lililopo mpakani mwa nchi hizo mbili, wamesema mafuta ya Taa yamekuwa yakiingizwa kwa wingi hasa baada ya Serikali ya Tanzania kupandisha bei ya bidhaa hiyo.  Katika zoezi hilo la kuhakikisha sheria za nchi zinaimarishwa, Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani Mkinga Mark Yona amesema katika kipind...
BBC DIRA YA DUNIA LEO TAR. 10.11.2017
NAPE AUNGURUMA BUNGENI...
Image
Mnunuzi wa nyumba mbili za mfanyabiashara Said Lugumi, Dk Loius Shika inadaiwa kuwa ni tapeli na anashikiliwa na jeshi la polisi kwa maelezo zaidi. Kutokana na tukio hilo mnada wa Nyumba za Mfanyabiashara huyo utarudiwa. Nini maoni yako?
Image
Tukiwa  # Morogoro  , @vanessamdee alieleza kwamba @juma_jux amekuwa akiomba sana warudiane lakini yeye bado hajakubali. Alisema nafasi ya mwisho kwa Jux itakuwa  # TigoFiestaKubwaLao  hapa Dar es Salaam ambapo Jux atapewa dakika 15 za kumshawishi V warudiane. # TigoFiesta2017  DSM ni November 25, Je @juma_jux na @vanessamdee wataruadiana jukwaani?
Image
Image
Alikuwa muimba  # Kareoke  tu, mwaka 2016 ndipo alipata nafasi ya kujaribiwa kwenye ligi kuu ya burudani. # TigoFiesta2017  imezidi kudhihirisha ubora wake kwani mwaka huu anatajwa kuwa kati ya ya wasichana wachache wanaofanya vizuri kwenye muziki. Leo katajwa kwenye orodha ya kwanza ya wasanii wataopiga  # TigoFiestaKubwaLao  lakini pia leo ni siku yake ya kuzaliwa. # HappyBirthdayNandy , Wasalimie Nigeria: Dar inakusubiri. @officialnandy
Image
Tambo na majigambo,  # Natamba  , @aslayisihaka anatamba. Kuna maneno kwamba ukitaja wasanii watatu wanaokubalika zaidi Bongo kwa sasa lazima umtaje  # Aslay  (sio maneno yetu) Je wewe unakubaliana na hilo? Tarehe 25 mwezi huu pale Leaders Aslay atakuwa na kibarua kizito kudhihirisha kwamba yeye ni kinara na anastahili kutamba. . . Itakuwa  # TigoFiesta2017  na hii ni  # TigoFiestaKubwaLao .
Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akishikana mkono na kupongezana na Mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi litakalo toka Hoima nchini Uganda hadi eneo la Chongoleani mkoani Tanga. Sherehe za uwekaji wa jiwe hilo zimefanyika katika eneo la Mutukula Wilayani Kyotera nchini Uganda

Msuya Foundation: On the service of the needy.Tuwasalidie maskini popote walipo kadri ya uwezo wetu kila mmoja...

Image

THE MEANING OF TRUE HAPPINESS (maana ya Furaha ya Kweli)

Image
INTRODUCTION             Happiness or beatitude is a personal possession of a desirable good, ultimately the perfect good of an intellectual nature [1] . It is man’s chief good which signifies the state of satisfaction which a person feels on fulfilment of his or her desire by the possession of the good. It is also said that a happy person is one to whom good things happen. All rational beings have a special goal which they admire and that is happiness. It is only a rational being which can attain happiness. They alone can reflect on the state and consciously appreciate the satisfaction they enjoy. On the other hand animals cannot attain happiness because they move towards ends and have appetites that can only be satisfied by things good for them instinctively.              Philosophically, happiness can be understood as the moral goal of life or as an aspect of chance; it is synonymous with luck. Thus, phi...